Thursday, February 10, 2011

MABADILIKO YA ANWANI YA BLOGU

BLOGU YA Kulikoni Ughaibuni INAPENDA KUWAFAHAMISHA KUWA INAHAMIA KATIKA ANWANI MPYA MTANDAONI.AWALI BLOGU HIYO IMEKUWA IKIPATIKANA KATIKA ANWANI http://chahali.blogspot.com LAKINI SASA INAHAMIA KATIKA ANWANI MPYA YA http://www.chahali.com.


PAMOJA NA MABADILIKO HAYO,AMBAYO NI SEHEMU TU YA MABADILIKO MAKUBWA ZAIDI YA UBORESHAJI NA HATUA YA KUELEKEA KUWA TOVUTI KAMILI,ANWANI YA AWALI ITAENDELEA KUWA HEWANI KWA MUDA WOTE WA ZOEZI HILI LA UHAMAJI (MIGRATION)


ASANTENI NA KARIBUNI SANA www.chahali.com
Evarist Chahali

1 comment:

Evarist Chahali said...

Asante sana mkuu.Tuko pamoja.