Thursday, February 10, 2011

MLELA, HEMED USO KWA USO NA SOUND OF DEATH!


Siku Mlela na Hemed (mafahari wawili) walipokutana uso kwa uso ndani ya Sound Of
Death!
'Babu wa Masharobaro' (Hemed) akila kuku kwa mrija
Scene za kipolisi
JB 'baba lao'
Maya (kulia) ndani ya ukachero
Aunt Ezekiel uso kwa uso na Ijumaa Sexiet Boy, Mlela
Patcho Mwamba....naye yumo
Rose Ndauka chini ya himaya ya Hemed
Kampuni inayoongoza kwa utengenezaji wa muvi kali za kibongo, kwa ubora wa hali ya juu, Game 1St Quality, inakuja na muvi iliyowakutanisha mastaa kibao wa Bongo, wakiwemo mafahari wawili, Hemed na Mlela. Muvi hiyo inayojulikana kwa jina la Sound Of Death, inatarajiwa kuingia sokoni kwa kishindo siku chache zijazo. Ndani ya muvi hiyo, yumo JB kama staa, Aunt Ezekil, Yusuf Mlela, Hemed, Rose Ndauka, Patcho Mwamba, Mayasa Mrisho, Anti Fifi, Flora Mvungi na wengine kibao wenye majina.....mzigo unatisha kwa stori na mikasa! Ukitoka si wa kukosa!!

1 comment:

Anonymous said...

Lkini kusema kweli wabongo bado tupo nyuma saana kwa kutengeneza movie zetu, Wote hao wanaomiliki company za kuproduce wanafanya kwa kutaka wauze DVD zao il wapate pesa tu lakini hamna quality yeyote ile katika movie za Bongo, kwani hamuoni watu wengine wanavyofanya movie zao ni simple sana si muhimu kuripua bila faida na mwisho wake tunachekwa na watu nje, jaribuni kufanya kitu cha maana hata siku moja jifundisheni kwa wajuaji ili tupate kuja juu na sisi.