Wednesday, February 16, 2011

KOCHA WA MASUMBWI AJA NA VIDEO YA MAFUNZO




BONDIA wa Zamani na Kocha wa Ngumi wa Klabu ya ngumi ya Ashanti, Rajabu Mhamila 'Super D' yupo mbioni kutoa Video inayozungumzia maisha yake ya mchezo huo.

Akizungumza Dar es Salaam jana, Super D alisema video hiyo itakuwa sokoni muda
wowote kuanzia sasa ikizungumzia maisha yake tangu alipoanza kucheza mchezo huo mwaka 1984 hadi sasa.

Alisema Video hiyo itaonesha mapambano mbalimbali aliyocheza na dhidi ya
mabondia Mbwana Matumla, Rashidi Ali na Ajibu Salumu.

Alisema lengo la kuandaa video ni kutaka kutimiza malengo yake ya kuendeleza
mchezo wa ngumi kwa kuwapatia vijana nafasi ya kujifunza kupitia kwake.

Kutokana na nchi ya Tanzania kuwa na vipaji vingi atashindwa kuwafikia
kila mmoja na badala yake amewapa fursa ya kujifunza kwa kuangalia video.
Katika kuhaikisha Video hiyo inafanya vizuri sokoni ameongezea vionjo vingine kutoka kwa mabondia maarufu duniani kama Mike Tyson, Michael Mo,Junior Myweather, Mohamed Ally, Man Paqyao na Joe Fleizer.

KWA MAITAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU

0787
0774
0754 4O6938
0713
0733
AU FIKA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI KARIAKOO DAR ES SALAAM
VIDEO YA SUPER D BOXING COACH


RAJABU MHAMILA (SUPER D)
DIRECTOR
www.burudan.blogspot.com
BURUDANI MWANZO MWISHO
P.O Box 15493
DAR ES SALAAM
Phone no. 0713/0754/0787/0774/ 406938

No comments: