Wednesday, February 16, 2011

SIKU LADY GAGA ALIPOINGIA GRAMMY AKIWA KWENYE YAI!

Siku Lady Gaga alipoingia kwenye Tuzo za Grammy 2011 akiwa kwenye yai mwishoni mwa wiki iliyopita. Msanii huyu haachi vituko!

No comments: