Wednesday, February 16, 2011

SUGU KUZINDUA 'ANTI VIRUS' YAKE

Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Mr II aka Sugu, siku ya tarehe 20 atakuwa pale Club Billicanskwaajili ya kuwashukuru wananchi pamoja na mashabiki wake ambao wako nae mpaka sasa.

Sugu mbali na kuwashukuru ataizindua mixtape ya Anti Virus na atasindikizwa na wasanii wengine wakiwemoOrijino Komedi, Salu T na member wote wa
Anti Virus.
(na mzee wa kitaa)

No comments: