Tamasha la aina yake la kuhamasisha uzalendo wa nchi, limeacha kishindo kizito jijini Dar es Salaam. Idadi kubwa ya watu waliofurika kwenye Viwanja vya Biafra, Kinondoni, Dar, ni pointi ya kwanza inayothibitisha tamasha hilo limeacha historia. Pichani ni baadhi ya matukio yaliyojiri siku hiyo.
No comments:
Post a Comment