
Wikiendi iliyopita ilikuwa ni uzinduzi wa albamu ya mwanamuziki wa Injili, Miriam Lukindo Mauki (pichan). Uzinduzi wa albamu hiyo ya video ijulikanayo kama Ni Asubuhi, ilizinduliwa katika ukumbi wa Diamond Jubilee kwa mafanikio makubwa.


Mwanamuziki kutoka Kenya, Marion Shako naye alikuwepo kumpa tafu Miriam

Miriam akijiandaa kumkabidhi mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Kinondon, Jordan Rugimbana (wa pili kushoto) Video ya albamu yake mara baada ya kuizindua. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Haak Neel Production, Mzee Mahendeka

Mchungaji akimuombea Miriam wakati wa uzinduzi wake

Mgeni rasmi akiwa na Mwenyeji wake

wapenzi wa injili wakijimwayamwaya



Miriam akiwaongoza wasanii wenzake katika onesho hilo.
No comments:
Post a Comment