Monday, May 23, 2011

Afisa Mawasiliano Wizara ya Mambo ya Nje Azungumzia Mauaji Ya Albino

URBAN PULSE CREATIVE inapenda kuwaletea video fupi ya kuhusiana na mahojiano kutoka kwa Afisa wa Mawasiliano Wizara ya Mambo ya Nje, Ali Kondo kuhusu mauaji ya Albino Tanzania wakati wa kumalizika katika mkutano wa Diaspora jijini London mapema mwezi huu.
Asanteni,

URBAN PULSE CREATIVE

No comments: