 Director Renny akijadiliana mambo fulani na Mkurugenzi wa Aset
Director Renny akijadiliana mambo fulani na Mkurugenzi wa Aset Director wa Lovely Gamble Renny akiwachekesha Baraka Baraka na Mkurugenzi wa Aset Asha Baraka alipotembelea Studio za URBAN PULSE
Director wa Lovely Gamble Renny akiwachekesha Baraka Baraka na Mkurugenzi wa Aset Asha Baraka alipotembelea Studio za URBAN PULSE Mkurugenzi wa Aset Asha Baraka Akishuhudia vitu vya URBAN PULSE live kutoka Jikoni
Mkurugenzi wa Aset Asha Baraka Akishuhudia vitu vya URBAN PULSE live kutoka Jikoni Baraka Baraka akimwonesha Mkurugenzi wa Aset Asha Baraka baadhi za kazi za URBAN PULSE
Baraka Baraka akimwonesha Mkurugenzi wa Aset Asha Baraka baadhi za kazi za URBAN PULSE Mkurugenzi wa Aset Asha Baraka Akishuhudia vitu vya URBAN PULSE live kutoka Jikoni
Mkurugenzi wa Aset Asha Baraka Akishuhudia vitu vya URBAN PULSE live kutoka JikoniKwa Mara Nyingine URBAN PULSE CREATIVE  ilibahatika kupataugeni wa Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka  ambaye alikuja nchini Uingereza kwenye ziara ya Kikazi,  ikiwa mojawapo ni kutembelea shughuli zinazofanywa na wajasilimali wa   kitanzania waliopo hapa nchini Uingereza. Mkurugenzi wa ASET alipata  fursa ya kujionea kazi mbalimbali zinazotengenezwa ndani ya studio URBAN  PULSE na kuwapa hongera kwa kazi wanazozifanya. Pia aliweza kukutana na baadhi ya timu ya URBAN PULSE na kuwatia moyo akiwepo  RENNY, BARAKA BARAKA na FRANK EYEMBE (hayupo Pichani).
URBAN PULSE inapenda kutoa shukrani zao za dhati kwa  uongozi mzima wa ASET pamoja na Mkurugenzi wake ASHA BARAKA kwa kuja  kututembelea na kumtakia safari njema ya kurudi nyumbani.
 Asante,
URBAN PULSE CREATIVE
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment