Tina and jesse malongo
Mh Balozi akifungua sherehe
Mh balozi Kallaghe na mkewe wakijiandaa kufungua dansi
Francia ambaye alikuwa akisherekea siku ya kuzaliwa jana na meneja wake Shelamima
kiondo kutoka ubalozini akiwa na familia yakeURBAN PULSE CREATIVE imewaletea picha za sherehe za kuadhimisha Muungano wa Tanzania na Zanzibar zilizofanyika London tarehe 30.4.2011. Sherehe hizo zimedhaniwa na swift Freight.
Asanteni
Asanteni
No comments:
Post a Comment