Thursday, July 7, 2011

NAPE ALIPOTEMBELEA RADIO ONE

 
Mkurugenzi wa Radio One Deo Rweyunga (aliyevaa shati jeusi) akimweleza Nape vitu vinavyorushwa ndani ya studio za Radio One
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kushoto) akisalimiaka na Mkurugenzi wa Radio One, Deogratius Rweyunga baada ya kutambulishwa kwake na Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/Radio One Joyce Mhaville jana alipotembelea studio hizo katika ziara yake ya vyombo vya habari.

No comments: