Baadhi ya Warembo wa Vodacom Miss  Higher learning wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza  ziara yao ya kutembelea Makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani  City jijini Dar es salaam. 
 Meneja wa Vodashop Mlimani city  Fatma Kalyanye  akiwaelekeza warembo wa Vodacom Miss higher learning  waliozuru duka hilo namna ya kuweka nyaraka za kudumu za wateja wao wa M  pesa,warembo hao walitembelea makao makuu ya kampuni hiyo ikiwa ni moja  ya hatua za kuelekea kilele cha shindano lao liatakalofanyika  mwishoni  mwa wiki mjini dodoma.
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment