Thursday, August 4, 2011

HOYCE TEMU NDANI YA TAMASHA LA PEN & MIC

Aliyekuwa Miss Tanzania 1999 na Mwandishi wa kitabu NAYAKUMBUKA YOTE Hoyce Temu akichangia  mambo muhimu kuhusu kitabu chake katika tamasha la PEN & MIC lililofanyika katika mgahawa wa Saffron uliopo kwenye jengo la Quality Plaza mwishoni mwa wiki iliyopita.
Hoyce Temu akipongezana na rafiki ya mpenzi Hobokela Magale katika tamasha la PEN & MIC mara baada ya kutoa ufafanuzi wa kuwa mshauri wake mkuu.
Mrembo wa Tanzania 1999 Hoyce Temu katika picha ya pamoja na Mrembo wa Tanzania 2002 Angela Damas.
Hoyce Temu akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wake wa kazi kutoka UN Sala Patterson (kushoto) pamoja na mdau.
Msanii kughani mashairi Crystal Leigh  Endsley ambaye alikuwa miongoni mwa wanachama wa tamasha la PEN & MIC akionyesha umahiri katika fani hiyo.
baadhi ya watu na wadau mbalimbali waliohudhuria tamasha hilo.

1 comment:

Mkuki na Nyota said...

Kitabu hiki kinachosisimua kinapatikana TPH Bookshop Samora Avenue opposite Salamander na maduka mengine bora ya vitabu nchini. Au wasiliana na Mkuki na Nyota kwa simu namba 0788959741 au 0787558448na vilevile kwa taarifa zaidi tutembelee mtandaoni kwenye www.facebook.com/mkukinanyota