Tuesday, September 27, 2011

'Moody' uso kwa uso na Rais ughaibuni

Star wa filamu ya kibongo ya Tears on Valentine Day aliyetumia jina la Moody (mwenye dread) ambaye yuko nchini Sweden ambako ameoa demu wa kizungu, hivi karibuni alikuwa miongoni mwa Watanzania waishio ughaibuni waliyekutana na Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Ghalib Bilal.

No comments: