Thursday, October 6, 2011

JK NA PINDA WAKUTANA NA CEO WA DUNIA WA VODAFONE


Rais Kikwete  akiongea na Vitorio Colao.  Wa pili kushoto ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda, na kulia ni Johan Dennelind.
 
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi  Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof  Mare pale uongozi wa kampuni hiyo ulipokwenda Ikulu hivi karibuni kujadili masuala ya kibiashara. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa kimataifa wa masuala ya kibiashara wa Vodacom Afrika ya kusini Johan Dennelind, na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone, Vitorio Colao.

 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa   Vodacom Tanzania, Dietlof Mare, uongozi wa  kampuni hiyo ulipomtembelea Ikulu.  Anaayefuatia  Wa kwanza kushoto ni Johan Dennelind na kulia ni  Vitorio Colao.
 
Rais Kikwete akifurahia jambo na meneja wa mfuko wa Vodacom wa kusaidia kina mama  nchini,  Mwamvua Mlangwa. Katikati ni Ofisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa  Vodacom Tanzania, Mwamvita Makamba,  baada ya kumaliza mazungumzo  yao Ikulu na Vitorio Colao.
 
Rais Kikwete akiwa na (kuanzia kushoto) Dietlof Mare, Vitorio Colao na Johan Dennelind.

No comments: