Sunday, October 2, 2011

Prime Time Promotion yafanya kweli Nairobi

 .......wadau wa muziki bongo ndani ya tamasha la Tusker All Stars jijini Nairobi, kenya, lililoandaliwa na kampuni ya burudani na matamasha nchini, Prime Time Promotions
 ...Madam Rita naye alikuwepo kujifunza nini BSS inaweza kufanya
 
 ...timu ya Prime Time Promotion iliyofanikisha mpango mzima, ikiongozwa na Joseph Kusaga
 .....utamu mpaka kukichwa!
 ...nyomi mwanangu!
  ...Eve akikamua
 ...Shaggy in action

No comments: