Thursday, October 13, 2011

Safari ya kuelekea Bukene, Tabora, kwa maziko ilivyokuwa!

...barabar ya Singida - Mwanza, eneo baada ya mlima Sekenke, mita chache kabla ua kuingia Igunga mjini.
 ..tulisimama hapa kilomita chache kabla ya kuingia Igunga kwa muda baada ya gari letu kupata pancha, ikiwa ni asubuhi jua likichomoza...vp kama tungepata pancha usiku ndani ya mlima Sekenke?
 ..msafara wa kuelekea makaburini, saa kumi alasiri, Bukene Okt. 9, 2011
 ....wakati wa maziko....nimo ndani ya kaburi nazika kwa mara ya kwanza!!

 ..hapa ndiyo mwanza na mwisho wa binadamu...mavumbini!
 ...wakati wa mawaidha kutoka kwa ustadh
 ...tulipata muda pia wa kufanya usafi katika kaburi la mama, lililojirani na alipozikwa mwanae wa kwanza!
...wakati wa dua!

...RIP Bro Hussein Mrisho (Retired JWTZ Sir Major)
1952 - 2011


2 comments:

rosetarimo said...

POLENI WAFIWA

Jestina George said...

Pole sana Mrisho may his soul R.I.P