Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo ya Super Brands, Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Kampuni wa Simu za mkononi Vodacom, Mwamvita Makamba, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi tuzo hizo kwa Makampuni yaliyofanya vizuri kwa mwaka 2011, iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi wa Superbrands, Jawad Jaffer (kulia) ni Ofisa Matangazo wa Vodacom, Joseline Kamuhanda.
...Mwamvita akitoa neno la shukrani mara baada ya kukabidhiwa tuzo
1 comment:
Rene Meza kamshusha cheo huyu Mwamvita kampandisha Abella Tarimo, huyu hamtamsikia tena
Post a Comment