KITONGOJI
cha Mbagala jijini Dar es Salaam kiligwaya kwa furaha kutokana na
uhondo wa muziki ulioangushwa katika kituo cha burudani cha Dar Live
ambapo waliojimwaga hapo walikonga nyoyo zao kwa muziki wa aina
mbalimbali ukiwemo wa kizazi kipya na muziki wa dansi na taarab.
Miongoni mwa wasanii waliokuwa hapo ni pamoja na kina Chege, Temba kutoka kundi la Wanaume Family, bendi ya Extra Bongo, East Africa Melody Taarab, kundi la JNY Unit na kundi la Mkubwa na Wanaye linaloongozwa na Said Fella ambalo lilisheheni wanamuziki kama Mwalami Hamisi (Dogo Mo) na Aslay Isihada (Dogo Asley).
Habari/Picha: Musa Mateja/GPL.

No comments:
Post a Comment