Monday, April 16, 2012

DIAMOND: KINARA WA KILI AWARDS 2012

  
Pichani juu ni msanii mkali nchini Tanzania, Diamond (kulia) akipokea moja kati ya tuzo tatu za Kili Music Awards alizoshinda mwaka huu na hivyo kuwa kinara wa tuzo hizo kwa mwa huu. Hata hivyo ameshindwa kuvunja rekodi iliyowekwa mwaka jana na mwanamuziki Twenty Percent aliyejinyakulia jumla ya tuzo tano. Kushoto ni Meneja wa TBL, George Kavishe. 
 ...Diamond (kushoto) na msanii mwenzake Ommy Dimpoz
..Diamond akiwa na msanii mwenzake Queen Darleen
  
Diamond akiwa na mama'ke
 ...tulikuwepo kuwakilisha..


No comments: