Monday, April 16, 2012

Kitokololo ndiye kiboko cha marapa wa bendi

 Abdallah Mrisho na Sinta Manongi wakimtangaza rapa bora wa bendi kwenye tuzo za Kili 2012
 ..Rapa bora, Kalidjo Kitokololo akijiandaa kupokea tuzo yake baada ya kutangazwa mshindi
Chitokololo akipokea tuzo yake kutoka kwa msanii Sinta kwenye ukumbi wa Mlimani City wikiendi iliyopita

No comments: