Baadhi ya waombolezaji wakiuaga mwili wa Steve Kanumba.
Msanii Irene Uwoya akipatiwa huduma ya kwanza baada ya kuzimia.
Pichani
juu ni baadhi ya waombolezaji waliopoteza fahamu wakati wa mazishi ya
Steven Kanumba wengine wakipatiwa huduma ya kwanza.
Waombolezaji
wanaokadiriwa kuwa zaidi ya mia moja wamepoteza fahamu wakati wa kuaga
na kuuzika mwili wa Marehemu Steven Charles Kanumba leo katika Viwanja
vya Leaders na Makaburi ya Kinondoni. Miongoni mwa watu hao ni msanii
Irene Uwoya.
PICHA ZOTE NA MAKONGORO OGING'/GPL
1 comment:
Wote wamezimia au wengne picha picha tu? R.I.P Kanumba. Utakumbukwa milele
Post a Comment