Baadhi ya washiriki wa semina ya kujadili bajeti ya nchi za Afrika Mashariki kwa mwaka 2012/13 wakifatilia semina hiyo iliyoandaliwa na Taasisi inayojishughulisha na mambo ya uchumi ya Deloitte. |
Mkurugenzi wa Asasi zisizo za kiserikali Bw.John Olanga akiongea wakati wa semina ya kujadili bajeti ya nchi za Afrika Mashariki kwa mwaka 2012/13 wakifatilia semina hiyo iliyoandaliwa na Taasisi inayojishughulisha na mambo ya uchumi ya Deloitte,katikati ni Mwenyekiti wa shirikisho la viwanda Tanzania Felix Mosha na Mkurugenzi mtendaji wa Samaria Groups Jayesh Shah. |
Baadhi ya washiriki wa semina ya kujadili bajeti ya nchi za Afrika Mashariki kwa mwaka 2012/13 wakifatilia semina hiyo iliyoandaliwa na Taasisi inayojishughulisha na mambo ya uchumi ya Deloitte. |
Meneja Mshauri Taasisi inayojishughulisha na mambo ya uchumi ya Deloitte Bw.Frederick Nsemwa,akiongea wakati wa semina ya kujadili bajeti ya nchi za Afrika Mashariki kwa mwaka 2012/13 wakifatilia semina hiyo iliyoandaliwa na Taasisi hiyo. |
Baadhi ya washiriki wa semina ya kujadili bajeti ya nchi za Afrika Mashariki kwa mwaka 2012/13 wakifatilia semina hiyo iliyoandaliwa na Taasisi inayojishughulisha na mambo ya uchumi ya Deloitte.
|
No comments:
Post a Comment