Friday, August 10, 2012

BRAND NEW TRACK: "HAIYA" (FIKRA YANGU) - MAX LOPEZ Feat. ALICE.

Max Lopez ni msanii chipkuzi kutoka kundi la THT anakuja na kitu kipya kabisa 'Fikra Yangu'. Max Lopez ana umri wa miaka 22 ni mwimbiaji na pia anapiga gitaa. Let's support our own.

No comments: