Urban
 Pulse na Freddy Macha wakiongea na watu mbalimbali jijini London 
kudadisi kwanini Tanzania haikufanya vizuri katika michezo ya Olimpiki 
London 2012. Baadhi yao ni Kocha wa Masumbwi Tanzania Remmy Ngabo na 
Kocha wa kuogelea Sheha Mohammed Ali.
Asanteni,
Urban Pulse Creative wakishirikiana na Freddy Macha
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment