Tuesday, August 21, 2012

Tujifunze nini Kutoka Olympic 2012

Tukio la mwisho la Olimpiki 2012 lililokuwa na washindi toka Afrika Mashariki ni mbio za Marathon, mitaani London . Ingawa mshindi hakutoka Bongo- wakimbiaji wetu watatu walishiriki kwa dhati bila mafanikio. Kabla ya kurudi nyumbani wanamichezo walialikwa na Ubalozi wetu Uingereza. Je, ilikuwaje? Nini kilizungumziwa? Na je , nini funzo au somo la mashindano haya kwetu sote?

Tafakari, chukua hatua na kuwa sehemu ya suluhisho ili kuleta mapinduzi katika tasnia ya Michezo Tanzania.

No comments: