Kwa miezi miwili sasa, mwanahabari na mhariri wa tovuti ya WikiLeaks,
Julian Assange, kajificha ndani ya ubalozi wa nchi ndogo ya Marekani
Kusini, Ecuador, London, mtaa wa Knightsbridge. Assange anakabiliwa na
mashtaka ya ubakaji na kufichua siri za serikali ya Marekani , mashtaka
ambayo amekanusha akidai ni njia tu ya kumziba mdomo kama mfichuaji
mambo na uhuru wa kusema. Urban Pulse na Freddy Macha tulitaka kufahamu
zaidi...
Kipindi kizima kimerekodiwa kwa simu ya mkononi.
Kipindi kizima kimerekodiwa kwa simu ya mkononi.
No comments:
Post a Comment