Saturday, September 1, 2012

JUU YA ZIWA VICTORIA MWANZA!

 
Hapa nipo kwenye meli ya abiria inayotoa huduma ya usafiri kati ya Mwanza mjini na upande wa pili wa jiji, Kamanga, ni kama Kigamboni ya Dar.
 
Mchekeshaji anayekuja kasi nchini President Chavala akisoma gazeti la ijumaa ndani ya kivuko cha Ziwa Victoria jijini Mwanza leo.
 
Moja kati ya vivuko kadhaa vinavyotoa huduma ya kusafirisha abiria na mizigo kati ya Mwanza mjini na Kamanga kama kilivyopigwa picha na mpiga picha wetu leo jioni.
PICHA: Abdallah Mrisho/GPL

No comments: