SAJUKI
RATIBA YA
MAZISHI YA MSIBA WA NDG JUMA SAID KILOWOKO ( SAJUKI) TAREHE 04/01/2013.
No
|
MUDA
|
TUKIO
|
MHUSIKA
|
1
|
1:00-……..
|
Waombolezaji
kuwasili nyumbani kwa marehemu
|
Kamati
yya mapokezi na Itifaki
|
2
|
2:00-2:45
|
Kisomo
cha wanaume
|
Wanafamilia
|
3
|
2:45-3:30
|
Mwili
wa marehemu kuwasili nyumbani
|
Kamati ya mazishi na familia.
|
4
|
3:30-
5:00
|
Salamu
za pole kutoka kwa viongozi, ndg na jamaa
|
Kamati
ya Itifaki
|
5
|
5:00-
6:00
|
Sadaka
ya chakula
|
Wote
|
6
|
6:00-6:15
|
Nasaha toka kwa viongozi wa dini
|
Mashekhe
|
7
|
6:15
|
Mwili
kuondoka nyumbani kuelekea msikitini
|
Kamati ya itifaki, usafiri na mazishi.
|
8
|
6:15-6:30
|
Kisomo
cha kinamama
|
Kinamama
|
9
|
6:30
– 7:30
|
Mwili kuwasili msikitini na swala ya
kuswalia maiti
|
Kamati ya mazishi na wahusika wa msikiti
|
10
|
7:30……
|
Mazishi
|
Shekhe
na watu wote.
|
11
|
|
Shukrani za mazishi na mwisho.
|
Familia na viongozi wa dini
|
Imetolewa na kamati ya mazishi.
Ahsanteni kwa ushirikiano
No comments:
Post a Comment