|
Wafanyakazi wa Kissa Pharmacy Ltd Pharmaceuticals Whole Sale And Retali Mbeya Tz wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika eneo la mapango ya Amboni (AMBANI CAVES ) kwa lengo la kujifunza mambo mbalimbali ya kihistoria ndani ya Mapango hayo sanjali na kuhamasisha utalii wa ndani. |
|
Wafanyakazi Kissa Pharmacy wakisikiliza kwa makini maelezo ya mmoja wa watoa huduma katika mapango hayo Ndugu Allan Yohana kabla ya kuanza rasmi shughuli ya kutembelea mapango hayo.(JAMIIMOJABLOG) |
|
muonekano kwa baadhi ya maeneo ndani ya mapango hayo ya Amboni Caves . |
|
Mkurugenzi Kissa Pharmacy Mbeya Ndugu Gasper Kilango Singo akiwa ndani ya mapango hayo . |
The
Amboni Caves are the most extensive limestone
caves in
East Africa. They are located 8 km north of
Tanga City in
Tanzania off the Tanga-Mombasa road. The caves were formed about 150 million years ago during the
Jurassic
age. It covers an area of 234 km². According to researchers the area
was under water some 20 million years ago. There are altogether ten
caves but only one is used for guided tours.
Picha na Emanuel Madafa Baba JJ
No comments:
Post a Comment