Monday, October 3, 2016

Naibu Waziri wa Afya Dk. Kigwangalla afanya ziara katika Hospitali ya Wilaya ya Iramba,Singida

. dsc_0565Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akisiliza maelekezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Iramba, Mkoani Singida wakati alipotembelea chumba cha upasuaji Hospitali hapo.
dsc_0571Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua vifaa vya Maabara 

dsc_0559Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Iramba namna wanavyokusanya mapato.
dsc_0584
dsc_0580Jengo la Utawala la Hospitali ya wilaya ya Iramba na juu  ni baadhi ya majengo ya Hospitali hiyo
Picha chini ni Majengo ya Zahanati mpya ya Kisimba iliyopo Wilayani Iramba.
dsc_0602Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akisaini kitabu cha wageni kwenye Zahanati hiyo Kisimba
dsc_0592Jengo la  Zahanati ya Kisimba
dsc_0587dsc_0603Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akisalimia wenyeji (Hawapo pichani) wakati alipotembelea Zahanati hiyo ya Kisimba
dsc_0589Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akisalimiana na watumishi wa Zahanati hiyo ya Kisimba.
dsc_0593dsc_0596Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua chumba cha dawa kwenye Zahanati hiyo.

1 comment:

poker said...

PROMO DELIMA
poker online | Agen Domino | Agen Poker|Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | bandar qiu | Judi online terpercaya

Bonus yang kami sediakan :
* TO (Turn over) sebesar 0.3% yang akan di kami bagikan setiap hari senin
* Bonus referal sebesar 10%

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat.
Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: Facebook
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___http://www.delimapoker.com/?ref=19860605