Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni (PSPF) Adam Mayingu, akipokea Hati na Katiba ya Chama Cha Walimu Wastaafu jiji la Tanga (Chajiwata) kutoka kwa aliekuwa Afisa Elimu shule ya Msingi jiji la Tanga, Damass Kifanga.
Wanachama wa Chama Cha Walimu Wastaafu jiji la Tanga (Chawajita) , wakifuatilia hotuba ya mkurugenzi mkuu wa Mfuko wa Pensheni (PSPF), Adam Mainga, wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa mteja kwa walimu wastaafu uliofanyika Tanga jana.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella, akifungua mkutano wa wanachama wa Chama Cha Walimu Wastaafu jiji la Tanga, (Chawajita) wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa mteja wa Mfuko wa Pensheni (PSPF) uliofanyika Tanga
Mwenyekiti wa Chama Cha Walimu Wastaafu jiji la Tanga, (Chajiwata) Debora Daffa, akizungumza katika mkutano wa Mfuko wa Pensheni (PSPF) wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa mteja mkutano uliofanyika Tanga jana.
Mwanachama wa Chama Cha Walimu Wastaafu jiji la Tanga (Chajiwata) Roda Matoi, akizungumza katika mkutano wa Mfuko wa Pensheni (PSPF) na walimu wastaafu wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa mteja na kufanyika ukumbi wa mikutano jengo la Mkuu wa Mkoa wa Tanga jana
Viongozi wa Chama Cha Walimu Wastaafu jiji la Tanga (Chajiwata) pamoja na STAFF ya Mfuko wa Pensheni (PSPF) wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella mara baada ya mkutano na walimu wastaafu wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa mteja mkutano uliofanyika jana ukumbi wa mikutano jengo la Mkuu wa Mkoa.
5 comments:
showbox online
I definitely appreciate your blog. Excellent 918kiss work!
I definitely appreciate 918kiss your blog. Excellent work!
918kiss login Thanks for 918kiss register the post. Im a 918kiss agent big fan of the blog,918kiss app i've even put a little bookmark right on the tool bar of my Firefox you'll be happy to find 918kiss kiosk out!
Thanks for sharing the info. Keep live22 apk download up the good work...We hope you will visit our blog often as we discuss topics of interest to you
Post a Comment