Monday, September 17, 2007

KWA HERI WAITARA, KARIBU MWAMUNYANGE!

Mkuu wa Majeshi Mstaafu George Waitara akiwa na familia yake wakati akiagwa rasmi mapema leo jijini Dar es slaam!

Mkuu mpya wa majeshi nchini Tanzania, Davis Mwamunyange katika hafla ya kumuaga aliyemtangulia na kukaribishwa yeye kushika hatamu ya chombo cha juu cha ulinzi nchini Tanzia!

2 comments:

Anonymous said...

TAFADHALI MUWE WAANGALIFU NA LUGHA MNAYOTUMIA HILI NENO TANZIA LINA MAANA YA TANZANIA? JARIBUNI KUWASILIANA NA WATU WA BARAZA LA KISWAHILI WAWAFAFANULIE MSIKIPOTOSHE KISWAHILI NI LUGHA YETU YA KUJIVUNIA

Anonymous said...

Dah miaka miaka mingi Sasa imepita kumbe hizi nafasi ni temporary.