Sunday, September 23, 2007

SALAAM KWA WATOTO!

Waziri Mkuu, Edward Lowassa akisalimiana na watoto yatima wa kituo cha Jombo la Kanisa Katoliki la Geita katika harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa kuu la jimbo hilo mjini Geita jana. Shilingi 104,440,680/= zilichangwa katika harambee hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: