Wednesday, October 17, 2007
LOGO MPYA YA ATCL!
Wandugu, Wajameni,
Nimeongelea mengi katika mazuri yanayofanywa na serikali yetu likiwa pamoja na lile la serikali kuisaidia Air Tanzania. Nilifurahishwa pale CEO huyu mpya, David Mattaka, alipotangaza mipango ya ndege mpya pamoja na uamuzi wake wa kutumia Mercator service kwa ajili ya Revenue accounting.
Nimesikitishwa na yeye kuamua kuitupilia mbali logo yetu ya zamani ya Air Tanzania: Na kutuletea logo mpya iliyokuwa designed na wakenya ambayo inafanana na ile ya Kenya Airways.
Hivi tumeishiwa creativity kabisa na tumeamua kuwa copycats? Naomba mchango wenu kabla ya kumuandikia CEO rasmi kumuomba alifikirie hili.
SASA SISI WANANCHI WENYE UCHUNGU NA NCHI HII TUNAOMBA ATAKAYEPOKEA EMAIL HII AIFIKISHE KWA TOP MANAGEMENT.......
Asante Watanzania Masembo K,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
Mwambie bwana! Lazima wawe na nembo ya kuwatofautisha, otherwise watu wataona ni kama kampunu tanzu tu ya KQ!!!
Bull s**t!
Hata logo mpaka mtazamie? Tuna vijana wengi tu wabunifu wangeweza kubuni nembo bora kuliko hiyo? Zabuni ilitangazwa au mambo yalienda kinyemela?
Bora hiyo A ingekuwa T. Tangu lini mattaka akajua branding??
RANGI ZA NGEGE ZETU ZA ZAMANI NI NZURI NA LOGO ZAKE ZINAVITIA KULIKO ZA SASA.
KILICHOKUA KINAKOSEKANA NI UONGOZI UNAOJUA NAMNA YA KUENDESHA BIASHARA YA NDEGE. BIASHARA YA NDEGE NI TOFAUTI SANA NA BIASHARA YA MITUMBA AU USAFIRISHAJI WA KAWAIDA AU KUHIFADHI PESA ZA UZEENI.
MATTAKA HANA UZOEFU HUO ANAHITAJI MSAADA KABLA NA YEYE HAJASHINDWA.
Post a Comment