Sunday, November 18, 2007

BESTA KULIKONI?

Juzi kwenye uzinduzi wa filamu fupi ya Undani Wangu ya mwanamuziki AY, pale Club Maisha, Besta hukuonekana mwenye furaha, usoni ulionekana una jambo limekukosesha raha, mashabiki waliona na wanauliza kulikoni?

1 comment:

Anonymous said...

naskia huyu binti ana kale kaugonjwa ka nyumbani