Ilielezwa kuwa Juma Nature (kushoto, siku aliyokabidhiwa tuzo yake) mshindi wa tuzo za Channel O mwaka huu ange pafomu kwenye fainali za Big Brother nchini Afrika Kusini, lakini haikutokea hiyo, what happened..tufuatilie!
2 comments:
Anonymous
said...
nasikia wamemtosa sababu sikuhiyo alikua bwiiii kuberi, mibangi, na mapombe
Naomba ufuatilie, manake hata mimi nimeshangaa kwanini kashindwa ku-perform na nnahamu kubwa ya kujua kwanini haja enda. Yaani Tanzania ilibaki nchi pekee ambayo haikotoa mwanamuziki katika nchi zote shiriki. Mfano kama Kenya wame perform mara tatu wakati Tanzania hatujawakilishwa hata mara Moja.

Post a Comment