Wednesday, November 14, 2007

WAHESHIMIWA!

Waziri Mkuu,Edward Lowassa akizungumza na Naibu Waziri wa Maji na mbunge wa Viti Maalum Shamsa Mwangunga (kulia) na Mbunge wa Viti Maalum Anna Lupembe, nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: