kwanini isiwe leo hii,kwani uwezo,sababu tunao nia tu ndio viongozi wetu hawana.Ukifanya mahesabu ya pesa zote za ufisadi hakika tunaweza kupafanya kivukoni pakawa kama katika hii picha.Inshaaalaa,mungu yupo siku moja tutapata kiongizzi mzalendo na nchi yetu itatukuka hata kama sio generation hii.Mungu tusaidie watnzania
2 comments:

Wow! Thats cool! I love that... itabidi tuwahi kununua viwanja kabla havijapanda bei! Lol!
Post a Comment