Friday, November 21, 2008

IRENE UWOYA AMTIMUA MPENZI WAKE!

H. Baba

Msanii anayekuja juu kwenye medani ya Bongo Movie, Irene Uwoya (pichani), eti kamtoa baruti aliyekuwa mpenzi wake, H. baba ambaye ni msanii wa muziki wa kizazi kipya. Alimtoa baruti wakati msanii huyo alipokwenda nyumbani kwao kumpa pole baada ya kunusurika kufa baada ya kubwia misumu..."tena nakwambia utoke hapa haraka kabla sijakufungulia mbwa.." alisikika akisema bibie...
Lakini H. Baba hakumaindi sana, aliamua kuondoka zake kuepusha shari na kuona pengine mwenzie angali bado anaumwa...

"Sikwenda kwa ajili ya mapenzi bali nilikwenda kumpa pole..nahisi kachanganyikiwa.." amekaririwa H. Baba akisema na Vuta Pumzi ya gazeti la Amani wiki hii.

6 comments:

Anonymous said...

je suis congolais naturaliser americain je veux rencontre irene uwoya car je pre vue une surprise pour elle faite un effort pour me mettre en contact avec elle je suis maintenent en kinshasa
franshe collaboration

Msela said...

Nakuminia mchizi wangu H baba,Irene ni kifaa,kama ushamkamua nakupa hongera.

Endeleza mwanangu.

Anonymous said...

H.baba unahangaika na nini? mbona imetosha we ushagandua waache wengine wapate shombo la samaki Irene wa kipibdi kile c huyu wengi wanjua kama wewe ndo umemtoa ushamba. Big up kwa kuachana nae maana angekusumbua sana.

isssa hemed said...

H baba tulia kwenu Irene unayemfahamu si yule wa sasa haumuwezi tena kwakuwa umesha............ achana nae usimfuate atakusumbua na atakuharibia future yako. take your time for your busness imba au sakata ball nakufahamu sana

Anonymous said...

H. baba wewe ushakamua tuachie cc H kaka angalau turambe

sarah mvungi said...

umempata wa sahihi sasa shemu wa ukweli tulia amen barikiwa ni ujana tu najua