
Kitabu cha Maombolezo kilichowekwa nyumbani kwa marehemu Kawe Beach

Watoto wa marehemu Rehule (kulia) na Reda kushoto, wakifarijiwa na mwenzao Imma Mbuguni, ambao baba zao ni wanahisa wa Business Printers

Watoto wa marehemu Rehule na Reda (kushoto) wakiwa katika majonzi

Reda akifunga jeneza la Baba yake mpendwa jana tayari kwa safari ya mwisho leo itakayofanyika katika kijiji cha Inyala, Mbeya. Mungu awape roho ya subira wafiwa na ailaze roho ya marehemu peponi - AMEN!
No comments:
Post a Comment