Thursday, November 13, 2008

BEN MTOBWA AZIKWA!

...mmmoja wa watoto walioachwa na marehemu akilia...ilikuwa ni majonzi makubwa...
mmoja wa watoto wa marehemu, Rabbecca Ben, akilia kwa uchungu...
Mke wa marehemu, Rehema Johnson, akiaga mwili wa marehemu mumewe kwa majonzi makubwa
..Makazi ya milele ya Ben
Ben Rashid Mtobwa (58), ambaye alikuwa Mwandishi wa habari, mwandishi wa Vitabu na Mhariri wa gazerti la Heko, aliyefariki Tarehe 9 mwezi huu, leo amezikwa shambani kwake Bunju A, jijini Dar es salaam. Ben, ameacha watoto wapatao 12 na mke. Mungu ailaze Roho ya Marehemu peponi - Amen!

No comments: