
Hali ilivyokuwa mara baada ya milipuko iliyofanywa na magaidi mjini Mumbai katika hoteli ya kitalii ya Taj

Wakazi wa Mumbai na waandishi wa habari wakijaribu kuokoa maisha yao kwa kujificha hapa

Polisi wa India akimpa maji ya kunywa hospitalini mtoto aliyejeruhiwa ktk shambulio hilo

hali ilivyokuwa mara baada ya shambulio hilo nje ya Taj Hotel mjini Mumbai

Asakari polisi akimsindikiza babu kupita katikati ya kituo cha reli baada ya shambulio la kigaidi liliofanyika mjini Mumbai, India. hadi sasa zaidi ya watu 120 wameripotiwa kuuawa.
1 comment:
Mimi nauliza swali tu. Hivi huu uisilamu wa siasa kali unatupeleka wapi? Hawajengi mashule, mahospitali. Pesa zao hazisomeshi watu kwa nanufaa ya jamii zetu. Wao ni kuuwa tu kila kukicha. Hii ni imani ya namna gani? Tunaomba Mungu aepushe Tanzania isije ikafika huko.
Mdau USA
Post a Comment