Tuesday, December 2, 2008

FRANK MTAO AREJEA BONGO

Mtangazaji wa televisheni ya Channel Ten na mmiliki wa 2Eyz Production, Frank Mtao, ambaye alikuwa nchini Austaralia kwa muda wa miezi sita, amerejea nchini akiwa fresh na akiwa tayari kuliendeleza libeneke la studio yake akiwa na ujuzi na vifaa vipya!

No comments: