Tuesday, December 2, 2008

NGOJA NIWAPE HAI WADAU!

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa, Marcio Maximo akiingia kwenye salon ya kisasa ya Zizzou kuwasalimia vinyozi wake wakati alipokuwa akifanya shopping maeneo ya Victoria, Kijitonyama jijini Dar es salaam.
...akiwa na timu nzima ya vinyozi na wahudumu wa Zizzou Barber Shop iliyopo maeneo ya Victoria, Kijitonyama.

No comments: