Tuesday, December 2, 2008

SALAAM ZA MJOMBA

Msanii Mrisho Mpoto 'MJOMBA' akighani mashairi yenye ujumbe kuhusu njia za kupambana na UKIMWI kwa wafanyakazi wa Zain Tanzania, wakati wa maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani Dar es Salaam jana.

No comments: