Monday, December 15, 2008

KIFAA CHA MH. TEMBA



Memba wa kundi la muziki wa kizazi kipya wa TMK Wanaume Family, Mh. Temba Jumamosi ameachana na kundi la ukapera baada ya kuchukua kifaa kipya jumla katika kanisa la Azania Front jijini Dar es laam!

Photo: Christopher Lissa/Gpl

No comments: