Thursday, January 29, 2009

DK. MASANGU ANAWAKARI BISHA KWENYE MTANDAO WAKE

Wapendwa wanablogu; KUNA BLOG MPYA IMEFUNGULIWA YA KUCHANGAMSHA FIKRA NA UPEO WA KUFIKIRI, UMEWAHI KUJADILI KIFO? HEBU NENDA HAPA: www.matondo.blogspot.com

Natanguliza shukrani zangu kwani najua mmeshanikaribisha.

Wenu;
Dr. Masangu Matondo Nzuzullima
Chuo Kikuu cha Florida

******************************
Karibu sana Dk. Masangu mtandaoni - Mrisho

No comments: