MSHINDI WA MILIONI 5 AKABIDHIWA BLACKBERRY YAKE!
Yule mshindi wa Milioni 5 wa shindano lililokuwa likiendeshwa na mtandao wa Global Publsihers amekabidhiwa zawadi yake jana katika duka la Arise Beauty Supply ambao ndio wadhamini wake. Pichani ni msanii Dotnata akimkabidhi Harith Blackberry kwa niaba ya dada yake, Saade Nassor anayeishi Oman.
No comments:
Post a Comment