Sunday, January 18, 2009

VILLA SQUARD YAPATA SHAVU

Kaimu Mkurugenzi wa Zizzou Fashions, Nicolous Camara (kulia) akimkabidhi msaada wa mipira 6 Mkurugenzi wa Timu ya Villa Squard, Fauz Zakawan katika duka la mavazi la Zizzou tawi la Victoria. Mipira hiyo, yenye jumla ya thamani ya shilingi 240,000 imetolewa na duka hilo kama msaada kwa timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Bara kwa mara ya kwanza nchini Tanzania.

No comments: